Jihadharini: Kufanya kazi kwa usalama katika urefu wa juu nchini Qatar
Mianguko kutoka kwa urefu wa juu ndio sababu kuu ya majeraha kazini nchini Qatar. Uhuishaji huu unawasilisha hatua rahisi zinazoweza kuokoa maisha yako. Usiache kamwe kujihadhari na kwa pamoja tunaweza kufanya kazi kwa usalama!