Zijue haki zako: kijitabu kwa ajili ya wafanyakazi wa ndani nchini Qatar

Kijitabu hiki kinaangazia haki kadhaa za msingi kama zilivyowekwa na Sheria za Uhamiaji na Wafanyakazi wa Ndani za Qatar.