Je niutaratibu gani wa kubadilisha kazi nchini Qatar?

Wafanyakazi wote katika Jimbo la Qatar wanawe za kubadilisha kazi pasipo Cheti cha Hakuna Pingamizi (NOC). Mchoro huu mwepesi kuuelewa unaelezea hatua za kuchukua wakati wa kubadilisha kazi.