Kubadilisha waajiri nchini Qatar - Habari muhimu kwa wafanyakazi

Wafanyakazi wote katika Jimbo la Qatar wanaweza kubadilisha kazi bila ya kupata Cheti cha Hakuna Pingamizi (NOC) wakati wowote katika kipindi cha mkataba wao. Hati hii ya Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara hutoa taarifa muhimu kwa wafanyakazi kuhusu kubadilisha waajiri.